Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWANAMFALME WA DUBAI FEB 6


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, alipofika kumsalimia Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum pamoja na ujumbe aliofuatana nao mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.

Post a Comment

0 Comments