Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI ASWALI SWALA YA IJUMAA MSIKITI WA IJUMAA FORODHANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mjini Mhe.Rashid Simai Msaraka pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Ijumaa Forodhani Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu]17/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo. [Picha na Ikulu] 17/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo. [Picha na Ikulu] 17/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Viongozi wakati kumalizika kwa sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo. [Picha na Ikulu] 17/02/2023.

Post a Comment

0 Comments