Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN AZINDUA MAABARA NNE MPYA ZA TAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wa Maabara ya Vifaa vya Viwandani.Bi.Sumaiya Ismail Mtoro, wakati akitembelea Maabara Nne Mpya za (ZBS) baada ya kuzifungua leo 15-3-2023, Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Bw. Yussuf Nassor Majid, wakati akitembelea Maabara Nne Mpya za Taasisi za Viwango Zanzibar(ZBS) baada ya kuzifungua leo 15-3-2023, Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-3-2023.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO ya Kuthamini na Kutambua Mchango wako katika kukuza Viwango na Ubora Nchini, akikabidhiwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar.(ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-3-2023.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Wageni Waalikwa na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Maabara Nne Mpya za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, uzinduzi huo uliyofanyika leo 15-3-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments