Ticker

6/recent/ticker-posts

BLACKJACK LIVE INAKUPA MKWANJA MREFUMoja kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti yaBlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino yamtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata8 tu, ili ushinde unapaswa utoe karata zisizozidi namba 21, lakini pia zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapokarata za mchezeshaji zitazidi namba 21.

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa nakuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni yaMeridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti yaBlackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100papo hapo ya dau uliloliweka. 

Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji(dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya BlackjackLive na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenyekarata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwamubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga. 


Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upohapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwaviwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye mezazaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hatakama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza niniunachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo. 


Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanzakuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 naBlackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karatazako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini yahapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi21.


Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet namchezo wa Blackjack Live

Post a Comment

0 Comments