Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole - Sendeka, bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda, bungeni jijini Dodoma, Aprili 11, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments