Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET IMEONGEZA ODDS KUBWA WIKIENDI HIIWakati wengi tukusubiri kujua hatma ya baadhi ya timu kusalia kwenye Ligi zao na nyingine kutwaa ubingwa, Meridianbet wametoa odds kubwa mwa mechi za Wikiendi hii. Kuna michezo ya kasino ya mtandaoni pia inatoa ushindi kirahisi, chaguo ni lako kubashiri soka au kasino ya mtandaoni.

Mechi za Jumamosi

Meridianbet odds kubwa kila mechi, Laliga kitachafuka miamba ya soka la Hispania FC Barcelona na Real Madrid watashuka dimbani kwa pamoja kusaka pointi 3 muhimu, ni Barcelona vs Betis, Real Madrid vs Almeria nanti kuondoka na ushindi?

Napoli vinara wa Serie A watahitaji kuendelea kuongoza kwenye msimamo, pale ambapo atakutana na Sportiva Salernitana Meridianbet wanampa nafasi ya ushindi Napoli kwa odds kubwa ya 1.20 huku Sportiva amepewa odds kubwa ya 12.74 unaenda nan ani? Ukiachana na ubashiri wa soka kuna kasino ya mtandaoni kucheza na kushinda ni kama kunywa maji tu, jaribu bahati yako hapa

Mechi za Jumapili

Unapoambiwa wikiendi hii ni ya moto ujue ni kweli, Meridianbet wameongeza odds kubwa ambapo Vijana wa Pep Guardiola fundi wa mpira Man City wataibairi Fulham, kwa mujibu wa Pe alisema mechi 3 zijazo zitaamua ubingwa kwa City ikiwemo hii ya Jumapili. Unahisi City atashinda goli ngapi, bashiri mubashara Meridianbet upate odds kubwa na michezo ya kasino ya mtandaoni inakusubiri.

Manchester Utd akiwa Old Trafford atakipiga na Aston Villa, odds kubwa kwa Utd ni 1.76 kwa 4.31 ya Villa endapo kila timu itashinda mechi. Newcastle nao wanaitaka kabisa TOP 4, moto utamuwakia Southampton endapo Newcastle atashinda azidi kujihakikishia nafasi ya kucheza UEFA Champions League. Liverpool aliyepo nafasi ya 7 kwenye EPL nae anaisaka Top Four endapo atamfunga Tottenham atasogea hadi nafasi ya 5, huku akimuombea njaa Villa apigwe na Utd.

Bayern Munich anapambana aongoze Ligi ya Bundasliga, utofauti wake ni kinara wa Ligi hiyo Dortmund ni alama 1 tu, Jumapili anakipiga na Herta je ataweza kufurukuta? Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Bayern kwa odds kubwa ya 1.11 huku Hertha akimwagiwa odds kubwa ya 18.67

Ligue 1 PSG kinara kwenye msimamo sasa kwa alama 75 yupo kwenye mbio za ubingwa lakini ni lazima ashinde dhidi ya Lorient, Meridianbet odds kubwa mechi zote wikiendi hii lakini pia ukijisajili unapata mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni yenye sloti nyingi za ushindi.

Post a Comment

0 Comments