Ticker

6/recent/ticker-posts

MIFUMO YA GePG NA NPMIS YAWAVUTIA WANANCHI WIKI YA UBUNIFU


Mtaalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Stella Nguma (kushoto), akitoa maelezo kwa raia wa Afrika Kusini, Bi. Jacqui Rogers, kuhusu Mfumo wa GePG, kwenye maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.

Mtaalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Stella Nguma (kushoto), akitoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha VETA Dodoma, Dotto Hassan (kushoto) na Ramadhan Allen, kuhusu namna Mfumo wa GePG unavyofanya kazi ya kurahisisha ukusanyaji wa mapato, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.


Mtaalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Maendaenda, akifurahia jambo na raia wa Afrika Kusini, Bi. Jacqui Rogers, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.


Mtaalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Stella Nguma (katikati), akitoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo cha VETA Dodoma, kuhusu ufanisi wa Mfumo wa GePG katika ukusanyaji wa mapato, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
Mtaalamu wa Mifumo ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Maendaenda, akitoa elimu kwa wanafunzi waliotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango, katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu kitaifa yanayofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

Post a Comment

0 Comments