Ticker

6/recent/ticker-posts

CHEZA WILD HOT 40 USHINDE JACKPOT YA MERIDIANBET
Sloti ya Wild Hot 40

Sloti ya Hot Wild 40 inakuja na bonasi ya mzinguko ya bure kama ukishinda, Jackpot za aina 3 huku ukiwinda ushindi wako kwa njia rahisi, yote haya yanawezekana kama ukicheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Moja kati ya mchezo ambao unakupa matumaini ya kuongeza hela kwenye dau lako uliloweka ni sloti ya Wild Hot 40 kutoka kasino mtandaoni, inakuhakikishia ushindi mkubwa kwa kuwa ina Jackpot 3 za ushindi ambazo ni Gold, Platinum na Diamond.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Wild Hot 40

Sloti hii ya Wild Hot 40 inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni, inasifika kwa uchezaji wake rahisi haswa katika muundo wa alama za matunda na muundo wa kolamu 5 na mistari 40 ya malipo.

Matunda hayo ni Ndizi, Tufaa (Apple) na Strawberry ambapo ukipata alama hizi 5, utapata mara 2.5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Kengele, unarudishiwa mara 5 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama ya namba 7 za bahati, utapata mara 10 ya dau uliloliweka. Ukipatia alama 5 za Wild, utarudishiwa mara 25 ya dau uliloweka wakati ukipatia alama 5 za Scatter utarudishiwa zaidi ya mara 500 ya dau lako.

Kubwa Zaidi ni kwamba Sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakuja na chaguo la Gamble ambalo litakuletea mara 2 ya faida uliyoipata kwenye ushindi wako.

Post a Comment

0 Comments