Ticker

6/recent/ticker-posts

KAMISHNA WA POLISI JAMII CP SHILOGILE AMEZINDUA JENGO LA DAWATI LA JINSIA NA WATOTO HALMASHAURI YA MSALALA KATA YA BUGARAMA.

Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine Shilogile kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Msalala Mboni Mhita, mwenye suti nyeusi upande wa pili ni Naibu Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Heo Eun na Melissa Barrett Naibu mwakilishi Mkazi toka UNFPA Tanzania wakiwa katika Picha ya pamoja katika zoezi la kuvuta kitambaa kuashilia Ufunguzi wa Jengo la Dawati Kata ya Bugarama Halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya Polisi Jamii CP Faustine Shilogile, Mkuu wa Wilaya ya Msalala Mboni Mhita mwenye Suti nyeusi, Naibu Mkurugenzi Mkazi Nchini Tanzania Heo Eun na Melissa Barrett Naibu mwakilishi mkazi toka UNFPA Tanzania wakiwa katika Picha ya pamoja katika zoezi la kukata utepe katika uzinduzi wa Jengo la Dawati Kata ya Bugarama.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi DCP, Merry Nzuki akiwasalimia Wananchi (Hawapo Pichani) kabla ya uzinduzi wa Jengo la Dawati na Jinsia na Watoto mkoani Shinyanga, Halmashauri ya Msalala Kata ya Bugarama. (PICHA NA JESHI LA POLISI)

Post a Comment

0 Comments