Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS JIWE LA MSINGI MAKAO MAKUU YA NGORONGORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Tarehe 16 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati alipowasili katika hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Tarehe 16 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Viongozi, Maafisa, Askari na Wananchi mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Tarehe 16 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa mbalimbali wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mara baada ya hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro linalojengwa Wilayani Karatu Mkoani Arusha. Tarehe 16 Mei 2023.

Post a Comment

0 Comments