Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margaret Sitta, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Mbunge wa Kisarwe, Dkt. Selemani Jafo, bungeni jijini Dodoma, Mei 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments