Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET WAIBUKIA UBUNGO-KIBANGU KUZINDUA DUKA JIPYA LA KUBETI


Hakuna maelekezo mapya ndivyo wanavyokuambia mabingwa wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania kampuni ya Meridianbet, Kwani leo tena kimewaka maeneo ya Ubungo-Kibangu ambapo kampuni hiyo imesogeza huduma kwa wakazi wa eneo hilo ambapo wamezindua duka jipya litakalowapa fursa wakazi wa eneo hilo kubashiri michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, Kikapu, Wavu, pamoja na Kasino mitandaoni.

Meridianbet wameendelea kusema na mitaa kama ambavyo wamekua wakifanya miaka na miaka, Kwani kwa miaka mingi wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamekua karibu na mitaa kwa kuzindua maduka mbalimbali kama ambavyo wamefanya leo wamefanya mitaa ya Ubungo- Kibangu kwa kuzindua duka la kubashiri litakalokua na michezo yote.

Kuelekea mwisho wa ligi, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo hapo Ubungo,Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Bado hawajamaliza ndio kwanza wanaanza na mpaka mwaka huu uishe Meridianbet itakuwa kila kona ya nchi hii ambapo maeneo mengi yatakuwa yamefikiwa na huduma ya maduka na watacheza michezo mbalimbali mpaka ya kasino ya mtandaoni. Hivyo watu wajitokeze kwa wingi kutumia Meridianbet wanapofanya ubashiri.”


Post a Comment

0 Comments