Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAFIKA BUGURUNI MALAPA KUZINDUA DUKA JIPYA



Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imefika mitaa ya Buguruni Malapa jijini Dar-es-salaam kuzindua duka jipya kwajili kuwasaidia wakazi wa eneo hilo kufanya ubashiri,Hii inaonesha namna gani kampuni hiyo inavyowajali wateja wake na kutaka kuendelea kua nao karibu katika kuhakikisha wanapata huduma bora kabisa.

Meridianbet sasa imekua kama utaratibu kwao kuendelea kujisogeza karibu na wateja wao kwani wataalamu hao wanaoongoza kwa ODDS BOMBA nchini wameendelea kufungua maduka sehemu mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanakua karibu na wateja wao, Lakini pia machaguzi yao zaidi ya 1000 imekua chachu na kivutio kikubwa kwa wateja.

Afisa Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu amesema kuwa; “Huu ni mwendelezo wa kuongeza maduka ya kubashiri na kuzidi kuongeza huduma zetu ili kuzidi kuwafikia zaidi wateja wetu. Wafanyabiashara na wajasiriamali wote wa Buguruni Malapa wanakaribishwa sana na wote waliokuwa karibu na Buguruni Malapa.”

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii



Unataka ODDS KUBWA? Nenda Buguruni Malapa utakutana na kile ambacho unachokitaka na Meridianbet wanakupa kile amabcho unataka wewe mteja wao, kwani mteja ni mfalme. Lakini pia unaweza Ukaturbo mkeka wako ili kuokoa pesa yako au unataka pesa ya haraka. Yote haya unayakuta hapa hapa Meridianbet.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni na Meridianbet.

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. 

Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.

Wakazi wa eneo hilo wamefurahishwa sana na ujio wa Meridianbet, na wameshukuru sana kwa kuwafungulia Duka jipya la kubashiria katika eneo hilo na watajiunga na Meridianbet kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi zaidi.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette

Post a Comment

0 Comments