Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAMPATIA TZS 20,000,000/= KWA KUCHEZA KASINO


Hatimaye leo Meridianbet wamemtambulisha rasmi bingwa wa kasino ya mtandaoni aliyeshinda kiasi cha TZS 20,000,000/= kwa dau la TZS 5,000/= Tu, mwamba huyu amekuwa akicheza sloti ya Piggy Party mara kwa mara.

Kutoka uswahilini Temeke Mtoni kwa Aziz Ali, Meridianbet imempata milionea aliyecheza kasino ya mtandaoni kwa dau dogo tu lililompeleka kwenye Jackpot kabambe ya ushindi.

Mwamba anasema kwamba ameifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa muda wa miaka 4 na amekuwa akicheza sana sloti na michezo mingi, moja kati ya michezo aliyocheza na kumpa utajiri ni Piggy Party.

“Nimeifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa miaka 4, na kila nikicheza nilikuwa nashinda pesa ndogo kuanzia Laki Moja lakini hatimaye bahati imenidondokea mimi kwa kushinda TZS Milioni 20,000,000/= Mshindi kutoka Kwa Aziz Ali.

Meridianbet kasino ya mtandaoni ina michezo/sloti mingi ya ushindi na kila siku washindi wengi wanatangazwa, kama hujashinda leo basi endelea kucheza mara kwa mara huenda nawe kesho ukawa Milionea.

Kubwa kuliko ni kwamba kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Post a Comment

0 Comments