Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YAWAUNGA MKONO BODABODA MBAGALA


Kampuni ya kubashiri Meridinabet imeendelea na kuwaunga mkono wananchi mbalimbali kwa kutoa msaada wa vitu kadhaa ambavyo vina uhitaji mkubwa na sasa wameenda mpaka Mbagala kutoa reflectors kwa bodaboda.

Safari ya kwenda kutoa Reflectors ulikuwa uliongozwa na Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu, pamoja na wafanyakazi wenzake ambao moja boda pale Mbagala na kuanza zoezi zima la kutoa reflectors hizo.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni mabyo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Uhitaji wa reflectors katika eneo hilo ulikua mkubwa sana kutokana na wingi wa watu na wengine kugombania zile ambazo zilikuwepo lakini bado hazikutosha. Hivyo Matina Nkurlu amewaahidi boda boda wa hapo kuwa watarudi tena eneo hilo kwaajili ya kutoa reflectors kwa wale ambao wamekosa.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.


Post a Comment

0 Comments