Ticker

6/recent/ticker-posts

RC SENYAMULE ASHIRIKI MAZISHI YA MTOTO WA MALECELA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiweka shada la maua katika kaburi la mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela aliyefariki dunia Mei 14, 2023, na kuzikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela aliyefariki dunia Mei 14, 2023, na kuzikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameshiriki katika mazishi ya mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela aliyefariki dunia Mei 14, 2023, na kuzikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma. Kulia ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Gugu akishiriki katika ibaada ya mazishi ya mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma.
Wakuu wa Wilaya kutoka Chemba Mhe Gerald Mongella, Chamwino Mhe Gift Msuya na Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu William Malecela aliyezikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wa mbalimbali wa Serikali ameshiriki katika mazishi ya mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela, marehemu William Malecela aliyefariki dunia Mei 14, 2023, na kuzikwa leo Mei 17, 2023 katika eneo la Mvumi, Dodoma.

Post a Comment

0 Comments