Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Ally bin Muhidin Mkoyokole akifungua Jiwe la Uzinduzi Rasmi wa Msikiti wa Taqwa Mtakanini Uliojengwa na Mwananchi na Mkazi wa Kijiji hicho Ndg. Ramia Yasin.
Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Ally bin Muhidin Mkoyokole(Mwenyekitambaa begani) akikata Utepe kuashiria Uzinduzi Rasmi wa Msikiti wa Taqwa Mtakanini Uliojengwa na Mwananchi na Mkazi wa Kijiji hicho Ndg. Ramia Yasin.
Rais Mstaafu wa Awamu ya NNE Mhe Jakaya Mrisho Kikwete Akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Masjid Taqwa katika kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma .
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Masjid Taqwa katika kijiji cha Mtakanini Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma




Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana Akiwa na Viongozi wa Mkoa wa Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM (Mwenye Koti la rangi ya kijivu) Ndg. Odo Mwisho, mara baada ya Kuwasili katika Uwanja Wa Ndege Mkoani humo.

Rais Mstaafu wa Awamu ya NNe Mhe Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameambatana na Naibu Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Ally bin Muhidin Mkoyokole (Kushoto) , Ndg. Ramia Yasin Mwananchi na Mkazi wa Kijiji Cha Mtakanini aliyejenga Msikiti huo,pamoja na Viongozi Mbalimbali mara baada ya Ufunguzi rasmi wa Msikiti Huo.(PICHA ZOTE NA Fahadi Siraji)
0 Comments