Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI TABORA UFUNGUZI WA UMISSETA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Tabora leo tarehe 06 Juni 2023. Makamu wa Rais amewasili Mkoani Tabora kwaajili ya Ufunguzi wa Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yanayofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.Post a Comment

0 Comments