Ticker

6/recent/ticker-posts

NYAMAGORY AZUNGUMZA NA WAKUU WA VITENGO VYA HABARI MAWASILIANO NA UHUSIANO WA ZANZIBAR

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Nyamagory Omary kitwara akielezea juu ya utekelezaji wa majukumu ya ofisi yao mbele ya Wakuu wa Vitengo vya Habari Mawasiliano na Uhusiano wa ZANZIBAR katika ukumbi wa Mikutano wa ofisi ya Waziri mkuu Jijini Dodoma tarehe 20.6.23.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR

Post a Comment

0 Comments