Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI ATOA MKONO WA POLE KWA MAREHEMU MOHAMMED RAZA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mtoto wa Marehemu Mohammed Raza aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar, Hassan Raza baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kwa Familia ya marehemu alipofika nyumbani kwao Mtaa wa Hazrat Abbas Jijini Dar es Salaam leo 9-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wanafamilia ya Marehemu Mohammed Raza aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar, wakiitikia dua ya kumuombea marehemu, baada ya kutowa mkono wa pole kwa familia alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Hazrat Abbas Jijini Da es Salaam leo 9-6-2023. (kulia kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Hassan Raza.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mtoto wa Marehemu Mohammed Raza aliyewahii kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar, Haasan Mohammed Raza (kulia kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Hazrat Abbas Jijini leo 9-6-2023, kwa ajili ya kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu na (kulia kwake) Ndugu wa Marehemu Ibrahim Raza.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa Pole kwa Familia ya Marehemu Mohammed Raza aliyewahi kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Zanzibar, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Hazrat Abbas Jijini Dar es Salaam leo 9-6-2023, na (kulia kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Hassan Mohammed Raza akiwa na wanafamilia.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments