Ticker

6/recent/ticker-posts

MAYELE ATAMBULISHWA PYRAMIDS

NA EMMANUEL MBATILO

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR ambaye pia alikuwa mchezaji wa Yanga Fiston Mayele ametambulishwa kama mchezaji mpya na klabu ya Pyramids ya nchini Misri.

Mayele ambaye ametamba katika Ligi Kuu Tanzania Bara kwa misimu miwili mfululizi ambapo msimu huu ameweza kumchezaji bora wa Ligi Kuu pamoja na kuwa kinara wa ufungaji bora.

Mayele ameweka alama ya kipekee katika yimu yake ya zamani Yanga kwani ameondoka akiwa ameipatia mafanikio makubwa yakiwemo kufika fainali michuano ya CAFCC.

Post a Comment

0 Comments