Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA TUME YA KUANGALIA JINSI YA KUIMARISHA TAASISI ZA HAKI JINAI HAPA TANZANIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman akizungumza wakati akiwasilisha Taarifa ya Tume hiyo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali baada ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa kwenye hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said wakiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo pamoja na Sekretarieti Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023


Post a Comment

0 Comments