Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI LILONGWE NCHINI MALAWI KWA AJILI ZIARA YA KISERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka Lilongwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, nchini Malawi tarehe 05 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 05 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 05 Julai, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 05 Julai, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 05 Julai, 2023.

Post a Comment

0 Comments