Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo (kushoto) akifurahia baada ya uwekaji saini wa mkataba baina ya EU na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) ambapo EU imetoa msaada (grant) kwa Tanzania wa Euro milioni 36 sawa na Shilingi bilioni 95 kwa ajili ya Mradi wa Uzalishaji wa Umeme kwa njia ya Maji wa Kakono, mkoani Kagera wa MW 87.8).
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo (wa pili kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Mhe. Jestas A. Nyamanga (wa kwanza kulia) wakifutilia majadiliano ya Mkutano wa Global Gateway Forum uliofanyika Brussels, Ubelgiji tarehe 25 na 26 Oktoba 2023
0 Comments