Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFUNGUA KITUO CHA POLISI CHA WILAYA YA IKUNGI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA SINGIDA MAGHARIBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP) Camillus Wambura pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP) Camillus Wambura mara baada ya kufungua Vituo cha Polisi vya Wilaya ya Ikungi pamoja na Mkalama kwenye hafla iliyofanyika Ikungi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wa Heshima ya Wimbo wa Taifa na ule wa Afrika Mashariki mara baada ya kuwasili Ikungi kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya hiyo mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika eneo la Puma Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Singida Magharibi eneo la Puma katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi wa Ikungi waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ikungi waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu wakati akiwasilisha hoja mbalimbali katika eneo la Puma Mkoani Singida tarehe 15 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments