Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHUDHURIA MISA YA KUMBUKIZI YA KUMUOMBEA HAYATI MWALIMU NYERERE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu wakati wa Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.
Matukio mbalimbali katika Misa Maalum ya Kumbukizi ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments