Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MKOA WA SINGIDA KATIKA UWANJA WA BOMBADIA MKOANI HUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Bombadia Mkoani Singida katika muendelezo wa ziara yake Mkoani humo tarehe 16 Oktoba, 2023
Viongozi wa Dini wakiwa kwenye uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 16 Oktoba, 2023
Machifu wakiwa kwenye uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 16 Oktoba, 2023
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo tarehe 16 Oktoba, 2023
Kwaya ya Utumishi wa Umma ikitumbuiza kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Bombadia kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Miaka 60 tarehe 16 Oktoba, 2023

Viongozi mbalimbali wa Serikali, Mkoa, Wabunge pamoja na Chama wakikata na kulishana Keki wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya Kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo tarehe 16 Oktoba, 2023
Wananchi wa Mkoa wa Singida wakiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023

Keki ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023

Post a Comment

0 Comments