Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZINDUA RIPOTI YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO NA VIASHIRIA VYA MALARIA TANZANIA 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nassor Mazrui, pamoja na Wakuu wa Mikoa wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba mfano wa Ufunguo kwa ajili ya Gari la Wagonjwa la Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kwenye hafla ya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kuzindua na kugawa magari ya kubebea Wagonjwa na Magari ya Usimamizi Shirikishi na Vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya masuala ya Afya mara baada ya kuzindua magari ya kubebea Wagonjwa na vifaa tiba kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.
Wadau wa Afya pamoja na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2022, Ugawaji wa Magari ya kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments