Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI WILAYANI IRAMBA MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Wilaya ya Iramba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Shelui katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.

Wananchi wa Shelui pamoja na Vijiji Jirani wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Shelui Mkoani Singida tarehe 17 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments