Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA NZEGA MKOANI TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nzega kwenye Uwanja wa Samora katika muendelezo wa Ziara yake Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Samora, Nzega Mjini kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi katika muendelezo wa Ziara yake Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Wananchi wa Nzega wakiwa kwenye Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Samora, Nzega Mjini Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwasili Nzega Mjini Mkoani Tabora tarehe 17 Oktoba, 2023.

Post a Comment

0 Comments