Ticker

6/recent/ticker-posts

SILAA ATEMBELEA OFISI ZA CCM MKOA WA SINGIDA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akisalimiana na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida Lucy Boniface alipotembelea ofisi za chama hicho tarehe 10 Oktoba 2023.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida Martha Mlata ofisni kwake alipotembelea ofisi za chama hicho tarehe 10 Oktoba 2023.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuzungumza na viongozi pamoja na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida alipotembelea ofisi za chama hicho tarehe 10 Oktoba 2023.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida alipotembelea ofisi za chama hicho tarehe 10 Oktoba 2023.
Sehemu ya wana CCM mkoa wa Singida wakiwa katika kikao na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa tarehe 10 Oktoba 2023.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Singida Martha Mlata akizungumza wakati Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa alipotembelea ofisi za chama hicho tarehe 10 Oktoba 2023. (PICHA NA WIZARA YA ARDHI)

Post a Comment

0 Comments