Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiwa na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini.[Picha na Ikulu]31/10/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) alipotambulishwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chak ula cha mchana ukumbi wa Ikulu Jijini Dar-es Salaam mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini. [Picha na Ikulu]31/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akisalimiana na Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier alipohudhuria katika chakula cha Mchana kilichotayarishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo kwa amgeni huyo akiwa katika ziara Nchini.[Picha na Ikulu] 31/10/2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatana na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe.Frank –Walter Steinmeier(kushoto) Ikulu Jijini Dar- es -Salaam leo wakati alipomuandalia Chak ula cha mchana,wakati mgeni huyo akiwa katika ziara Nchini. [Picha na Ikulu]31/10/2023.
0 Comments