Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AAPISHWA VIONGOZI ALIOWATEUWA .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Kaskazini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Sadifa Juma Khamis kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "A"Unguja .[Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Othman Ali Maulid kuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini "A" Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Galos Nyimbo kuwa Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mwanajeshi Mstaafu . [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Ndg.Galos Cassian Nyimbo na Ndg. Othman Ali Maulid wakipitia hati za viapo kabla ya kuapishwa kuwa Wakuu wa Wilaya walizopangiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Mwanasheria Mkuu Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji,Jaji wa Mahkama Kuu Mhe.Mohamed Ali Mohamed na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya walioteuliwa hivi karibuni, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akizungumza na Viongozi aliowateuwa hivi karibuni baada ya Kuwaapisha rasmi kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Unguja,pamoja na Viongozi waliohudhuria katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal Kassim Ali wakiwa katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibuni Iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 20/11/2023.

Post a Comment

0 Comments