Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI UNGUJA KUWAOMBEA VIONGOZI WAKUU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka ubani kwa ajili ya kuwarehemu Wazee,Viongozi na kuwaombea dua Viongozi Wakuu na kuiombea Nchi Amani, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mtegani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja, iliyofanyika leo 16-12-2023 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Dua Maalum iliyoandaliwa na Mkoa kwa ajili ya kuwaombea Viongozi Wakuu na kuiombea Nchi Amani, dua hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mtegani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Dua maalum iliyoandaliwa kuwaombea Viongozi Wakuu na kuiombea Nchi Amani, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mtegani Makunduchi leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa dua maalum ya kuwaombea Viongozi Wakuu na kuiombea Nchi Amani, iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mtegani Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-12-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments