Ticker

6/recent/ticker-posts

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI YAMALIZA MASHAURI YENYE MASLAHI MAPANA KWA TAIFA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akizungumza na wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo ya uongozi kwa wajumbe hao yanayofanyika Kibaha, Pwani.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende akimkaribisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi (hayupo pichani) kuzungumza na wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo ya uongozi kwa wajumbe hao yanayofanyika Kibaha, Pwani.
Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo akizungumza na wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende (hayupo pichani) kuzungumza na wajumbe hao wakati wa mafunzo yanayofanyika Kibaha, Pwani.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati ya mafunzo ya uongozi yalitolewa kwa wajumbe hao Kibaha, Pwani. Wa pili kulia ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende na wa pili kushoto ni Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawakili wa Serikali Wafawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo ya uongozi kwa Wafawidhi hao yanayofanyika Kibaha, Pwani. Wa pili kulia ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende na wa pili kushoto ni Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya mafunzo ya uongozi kwa wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yanayofanyika Kibaha, Pwani. Wa pili kulia ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende na wa pili kushoto ni Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Mark Mulwambo.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bavoo Junus akitoa mada kuhusu Uandaaji wa Kanuni na Miongozo wakati wa mafunzo ya uongozi kwa wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yanayofanyika Kibaha, Pwani.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Fatuma Chilo akitoa mada kuhusu Udhibiti Ubora kwa wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yanayofanyika Kibaha, Pwani. 

Post a Comment

0 Comments