Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MAKAMBA AWASILI NCHINI INDONESIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba amewasili jijini Jakarta, nchini Indonesia tayari kwa maandalizi ya Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan itakayofanyika kuanzia tarehe 24-26 Januari, 2024.

Katika Uwanja wa Ndege wa Jakarta, Mhe. Waziri amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Indonesia Mhe. Macocha Tembele

Post a Comment

0 Comments