Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA CEO WA SHIRIKA LA MAREKANI LA AARP IKULU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake CEO wa Shirika la Marekani  Linalojihusisha na Kustawisha Maisha ya Wazee (AARP) Bi. Jo Ann C.Jenkins, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 9-2-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake CEO wa Shirika la Marekani linalojihusisha na Kustawisha Maisha ya Wazee  (AARP) Bi. Jo  Ann C.Jenkins (kulia kwa Rais) akiwa na Mkurugenzi wa Mtendaji wa Help Age Tanzania Bw. Smart Daniel,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-2-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Marekani la (AARP) ukiongozwa na CEO wa Shirika hilo Bi. Jo Ann C. Jenkins.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-2-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments