Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MSUMBIJI, ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.

Post a Comment

0 Comments