



Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Mhe. George Huruma Mkuchika wakati wa hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kushuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Mauziano ya Hisa za Kampuni ya Wentworth Resources PLC katika Kitalu cha Mnazi Bay baina ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya M&P tarehe 03 Februari, 2024.


0 Comments