Ticker

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya : RISANDI LAIZER - YUPO MUNGU

 


Yupo Mungu anayeweza wote!  Naam! huu ni Wimbo Mpya wa Injili wa Mkali wa Gospel Risandi Laizer kutoka jijini Arusha.

Yupo Mungu ni miongoni mwa kazi nzuri za Risandi Laizer ambaye  anatamba kwa nyimbo zake nzuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Wasiliana na Risandi Laizer kwa Simu namba +255766200459

Karibu usikilize ujumbe huu utabarikiwa. 

 Usisahau ku like, ku-Comment na ku-share Kwa wengine.

Post a Comment

0 Comments