Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE VIKOSI VYA SMZ

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Zanzibar, baada ya kumaliza ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed na (kulia kwa Rais) Mkuu wa KVZ Luteni Kanali Said Ali Shamuhuna.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wapiganaji wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
KAMISHNA wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar Rashid Mzee Abdallah akizungumza na kutoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Chuo cha Kikosi Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)
WAPIGANAJI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Zimamoto Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu)

WAPIGANAJI wa Kikosi cha KVZ wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum za SMZ.(Picha na Ikulu)
MKUU wa KVZ Luteni Kanali Said Ali Shamuhuna akizungumza na kutowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya KVZ Mtoni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wapiganaji wa Kikosi cha KVZ, wakati wa ziara yake kutembelea Vikosi vya Idara Maalum vya SMZ, mkutano huo uliyofanyika katika viwanja vya KVZ Makamo Makuu Mtoni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments