Ticker

6/recent/ticker-posts

Rais Samia ahudhuria hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL) Bakari Machumu wakati wa hafla ya The Citizen Rising Woman katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.
2024.
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla The Citizen Rising Woman iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki kwenye Maadhimisho Siku ya Wanawake Duniani Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Machi, 2024.

Post a Comment

0 Comments