Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu, Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhandisi Mwajuma Waziri kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Kaspar Kaspar Mmuya kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Makatibu Wakuu na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Maji Jumaa Aweso, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu, Ally Senga Gugu, Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Ndugu Kaspar Kaspar Mmuya mara baada ya kuwaapisha Makatibu hao katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 17 Machi, 2024.

Post a Comment

0 Comments