Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA BIBI MALIGO AKIKABIDHIWA NYUMBA YA KUISHI NA CHAKULA KUTOKA TAASISI YA TULIA TRUST


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.

Post a Comment

0 Comments