Ticker

6/recent/ticker-posts

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KIKAMILIFU SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMA

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Madeni Wizara ya Fedha, Bw. Omary Khama (wa pili kushoto mstari wa pili) na Kamishna wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi wa Wizara ya Fedha, Bw. Bashiru Hussein (kushoto) wakiwa katika maandamano ya wafanyakazi wa Wizara hiyo wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Dionesia Mjema, (katikati) akiongoza maandamano ya watumishi wa Wizara hiyo wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Watumishi wa Wizara ya Fedha wakipita kwa bashasha mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi. Rosemary Senyamule, ambaye alikuwa mgeni rasmi wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera Wizara ya Fedha, Bw. Mbayan Saruni (katikati) akiteta jambo na baadhi ya watumishi walioshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Watumishi wa Wizara ya Fedha wakiwa tayari kuanza maandamano kuelekea Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja hivyo, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha wakiwa wakiwa tayari kushiriki Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja Viwanja vya Jamhuri, jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha wakiwa katika maandamano wakati wa  Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri,  jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya  “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha wakifurahia jambo wakati wa  Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri,  jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya  “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha”

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha- Dodoma)

Post a Comment

0 Comments