Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA ULINZI YA UAE IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya UAE.Mhe.Dr.Ali Rashid Alnuaimi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 19-6-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya UAE Mhe.Dr, Ali Rashid Alnuaimi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-6-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya UAE Mhe.Dr.Ali Rashid Alnuaimi (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-6-2024 na (kushoto) Balozi Mdogo wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu - UAE. Anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Saleh Ahmed Alhemeiri.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango mgeni wake Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya UAE Mhe.Dr. Ali Rashid Alnuaimi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-6-2024.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments