Ticker

6/recent/ticker-posts

MAMIA WAJITOKEZA BANDA LA TIGO SABASABA KUINUNUA SIMU YA ZTE A34

                          

SIMU NI Tsh. 650 KWA SIKU : " Kwa mara ya kwanza Tanzania , Tigo kwa kushirikiana na ZTE Tanzania tunaileta kwenu simujanja ya ZTE A34 Yenye uwezo wa 4G Kwa bei nafuu ya Tsh, 650 kwa siku kwa mkopo ambapo kianzio chake ni elfu 35 tu , ikiambatana na MB 100 BURE kila siku " - Imelda Edward Meneja wa Bidhaa za Intaneti Tigo Tanzania.


BEI NAFUU  , CHAJI SIKU 2 : " ZTE A34 Simu ya bei nafuu , Kioo chake inchi 6.6 , Kamera 2 , 64 GB Storage , Betri imara chaji hadi siku 2 " - Kelvin Mwandumbya Meneja Masoko ZTE Tanzania.

JULAI 4 , 2024 : Mamia ya Watanzania walivyojitokeza kwa wingi kununua simu za ZTE katika Maonesho ya 48 ya Biashara Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea Temeke Jijini Dar Es Salaam , Banda la ZTE lipo ndani ya banda la Tigo ambapo ukiingia ndani utaweza kunufaika na mengi ikiwemo kujishindia zawadi mbalimbali za simu , Earphones , Spika n.k

Post a Comment

0 Comments