Ticker

6/recent/ticker-posts

SAKO KWA BAKO YATUA SABASABA WATEJA WA TIGO KUFURAHIA OFA KIBAO

  Na Adery Masta.

Kampuni namba moja kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali nchini Tigo Tanzania , tayari ipo katika maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara SabaSaba kwa mwaka huu wa 2024 , Katika maonesho hayo Tigo imewasogezea huduma kambambe wateja wake Kama vile 

> Simu janja za Mikopo kutoka Kampuni ya SAMSUNG na ZTE .

> Simu janja kwa bei za Ofa .

> Huduma za Intaneti .

> Huduma za Tigo Pesa na Tigo Business .

>  Fursa nyingine mbalimbali kutoka Kampuni ya Tigo .

Akizungumza na Waandishi wa habari katika banda la Tigo lililopo Viwanja vya Sabasaba Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Dar Es Salaam Kusini Bwn. Robert Kasulwa amesema Wateja wa Tigo na Wananchi wote wanakaribishwa katika banda la Tigo maana wana mambo mbalimbali mazuri na makubwa ila kubwa zaidi ni Kampeni ya SAKO KWA BAKO  ambayo kwa wiki kadhaa sasa wateja wamekua wakipata Ofa Mbalimbali kama vile Whatsaap BURE .

Kwa maelezo zaidi Tafadhari Tembelea kurasa zao za Mitandao ya Kijamii @ Tigo Tanzania.

Post a Comment

0 Comments