Ticker

6/recent/ticker-posts

WATANZANIA WAZIDI KUSHINDA PESA NA BIDHAA ZA HISENSE , ZIGO LA EURO CUP

Balozi wa Hisense Aishi Manula akikabidhi TV na Friji kwa Mshindi wa Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya sita ) , ushindi unaopatikana kwa kutumia Tigo Pesa super APP kufanya miamala mbalimbali , tukio hili limefanyika mapema leo Julai, 06 , 2024 katika banda la HISENSE lililopo Viwanja vya Maonesho ya 48 ya Biashara Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea Temeke Jijini Dar Es Salaam.
Said Seleman mmoja kati ya Washindi wa Milioni Moja Kampeni ya ZIGO la EURO CUP na Hisense ( wiki ya sita ) , akikabidhiwa mfano wa Hundi na Mwakilishi kutoka PariMatch , Bwn. Said ameshinda pesa hii kwa kubashiri Mechi na PariMatch kupitia Tigo Pesa Super App, katikati ni Balozi wa Hisense Aishi Manula na kulia ni Meneja Biashara Tigo Pesa Bw. Fabian Felician.


Na Adery Masta.

Ili kuingia kwenye droo na kupata nafasi ya kujishindia tiketi au zawadi ya fedha taslimu TZS 1,000,000, na Vifaa vya Hisense TV na Friji washiriki wanapaswa kujiandikisha na Parimatch, kuweka pesa zao kupitia Tigo Pesa kisha kuweka dau ( betting ) kwenye mechi yoyote ya mpira wa miguu na Parimatch. Kadiri dau zinavyowekwa, ndivyo nafasi zinavyoongezeka ya kushinda TZS 1,000,000 au tiketi ya safari na mechi yenye malipo kamili ya kwenda kutazama mechi za Kombe la Euro moja kwa moja nchini Ujerumani .

Kwa taarifa zaidi tembelea mitandao ya kijamii ya Tigo , Hisense na Pari Match.

Post a Comment

0 Comments