Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC, HARARE NCHINI ZIMBABWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Jengo la Bunge jipya la Zimbabwe Jijini Harare tarehe 17 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Jengo la Bunge jipya la Zimbabwe Jijini Harare tarehe 17 Agosti, 2024.

Post a Comment

0 Comments